Tazama gharama za ukarabati wa nyumba

... this is too much! Hata kama ni suala la mapato hii inavuka mipaka sasa!
 
This is too much tunakoelekea tutadundana live
 
Kuna mahali fulani jamaa walibadilisha paa la nyumba usiku, nilipouliza niliambiwa kuna kitu kama hichi.
 
Kama attachment inavyojieleza
Halmashauri nazo zinakuja na tozo zao mbalimbali

View attachment 1930819
Tozo hizi zipo miaka wewe ndiyo kwanza unazijua! Ipo pia tozo ya kuwasha jenereta. Hebu tusubiri tozo ya kuingiza godoro jipya ndani ya nyumba.
Umasikini ni mbaya unaondoa uwezo wa kufikiri, hivi mtu na akili yake anathubutu kuweka tozo ya kusafisha choo! Anataka tuishi na vyoo vichafu! Inawezeka tulipata uhuru kwa makosa maana aliyetutawala alijenga vyoo vya bure vya umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…