Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauruhusiwi kufanya marekebisho yoyote kwenye nyumba bila kupata ruhusa toka jiji, mnaishi bila kujua kanuni na sheria za jiji! Ukipigwa faini unaona unaonewa.Ukikamatwa ukaambiwa thibitisha ulichoandika unaweza.
nimejaribu kuZoom kujuwa Halmashauri gani iliyoandika hivyo nimeshindwa kuona
Utafungwa, shauri yako.Hakuna ukweli. Uzushi. Serikali haiwezi kuweka vizuizi vya kijinga
Tayari sisi ni mateka tangia 61.Wapi hapo mkuu mbona hawa watu wanataka kutufanya mateka
Ili kuwanyoosha vizuri hawa wanyongwe inatakiwa mgambo/mtendaji/mwenyekiti wakidaka mtu anayekarabati nyimba bila kibali apewa commisson 10% ya faini itakayolipwa.ndio manake ukikamatwa unabadilisha au ikijulikana ulibadilisha bila kibali utapigwa faini ya Kati ya laki 2 hadi 5
N nouma.Kama attachment inavyojieleza
Halmashauri nazo zinakuja na tozo zao mbalimbali
View attachment 1930819
😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌 Kuna mtu alisema hii nchi hata ukimpa kichaa au mwendawazimu anaiongoza maana hata wananchi wake hamna kitu.Tozo hizi zipo miaka wewe ndiyo kwanza unazijua! Ipo pia tozo ya kuwasha jenereta. Hebu tusubiri tozo ya kuingiza godoro jipya ndani ya nyumba.
Umasikini ni mbaya unaondoa uwezo wa kufikiri, hivi mtu na akili yake anathubutu kuweka tozo ya kusafisha choo! Anataka tuishi na vyoo vichafu! Inawezeka tulipata uhuru kwa makosa maana aliyetutawala alijenga vyoo vya bure vya umma.
Ukikamatwa ukaambiwa thibitisha ulichoandika unaweza.
nimejaribu kuZoom kujuwa Halmashauri gani iliyoandika hivyo nimeshindwa kuona
Wewe umewah kujenga nyumba yako na ukapata kibali cha Ujenzi.Nikamatwe ili nithibitishe nini?
Ukiwa na akili ndogo tu ndio utakuwa na mawazo Kama yako
Huyu mleta mada anaishi kwenye nyumba ya kupanga au kwa wazazi. Angekuwa amejenga wala asingeleta uzi Kama huu. Sijuh ka-copy wapi na ku-pasteMmmhh mbona bei ghali sana? Kibali cha ujenzi ni laki 2 na nusu kwa nyumba ya kawaida na fense ya kawaida haizi elfu 7 ,mbona bei hizo ni kubwa?
Wewe umewah kujenga nyumba yako na ukapata kibali cha Ujenzi.
Unajuwa kibali cha Ujenzi kinakuwa na mchanganuo kiwango cha pesa unachotakiwa kulipa au Una andika tu mada bila kufanya uchunguzi.
Wakati nafuatilia kibali cha Ujenzi Municipal niliulizwa kuwa Nyumba yako utajenga fence jibu langu nilikataa. Hivi unajuwa kwa nini niliulizwa ili swali.
Ukipata kibali cha Ujenzi hivo vitu vyote ulivyoandika hapo hivina kazi.
Haya ndo matatizo ya kukaa nyumba ya kupanga au kwa wazazi ufahamu hata taratbu za vibali vya Ujenzi Unaandika kitu usicho kijuwe
Ukipata kibali cha Ujenzi utajenga Choo, utaweka plasta, utaweka rangi, utaweka marumaru, ukarabati wa nyumba yako n.k Vitu vyote vilivyopo kwenye hiyo karatasi utafanya.
Wewe ndo Mpumbavu tena kilazaTofautisha Kati ya Ujenzi na ukarabati.
PUMBAVU Wewe.
Kwa kifupi ukipata kibali cha kujenga nyumba yako ukitaka kubadili structure ya hiyo nyumba unatakiwa uombe kibali na ndio ulipie .
Siishi Kwenye nyumba ya kupanga muda mrefu sana
Nilianza biashara ya kupangisha watu Kwenye nyumba mwaka 2002 kwa sasa na wapangaji 22 na kodi ndogo Kwenye nyumba zangu ni laki 2 Kwenye apartment zangu za Chumba Sebule choose jiko, namiliki nyumba kubwa pia.
Nilishawahi kupost hata hapa jf natafuta MPANGAJI Kwenye one of my houses.
Soma uelewe post acha kukurupuka.