Tazama grafu ya Simba ilivyoanza kuporomoka

Utopolo aka nyuma mwiko mmepata sehemu ya kujifichia...yani droo mmeikalia shingoni kama mnalipwa....tungefungwa jee?
Mazuzu FC....
 
Mbona nyie mbumbumbu mlikuwa mnabweka yanga alipokuwa anashinda goli Moja Moja? Mmesahau mlikuwa mnasemaje!
Kwahyo ndo mnalpa kisasi ama??
Tulieni fokasini na mechi ya derby ndugu zetu Mazuzu...
 
Utopolo aka nyuma mwiko mmepata sehemu ya kujifichia...yani droo mmeikalia shingoni kama mnalipwa....tungefungwa jee?
Mazuzu FC....
Ila mashabiki wa mbu*3 mna roho ngum sana, imagine mnafanyiwa comeback na cost wachovu then refa anamaliza mpira mkitaka kuchomekwa cha 3, mshukuruni sana refa kwa kuokoa jahazi.
 
Ila mashabiki wa mbu*3 mna roho ngum sana, imagine mnafanyiwa comeback na cost wachovu then refa anamaliza mpira mkitaka kuchomekwa cha 3, mshukuruni sana refa kwa kuokoa jahazi.
Sasa unatakaje??? Cha ajabu ni nini kwny mpira?.
Mazuzu mtuache...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…