Tazama hapa utafiti wa twaweza kuhusu JF

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Inasemekana kama mtu kaanzisha mada na ikapata replies nyingi basi huyo mtu hafai kuitwa great thinker kwa kuwa hana uwezo wa kuandaa mada ambayo itasababisha watu waumize kichwa kwenye kuchangia

Hivyo basi ukiona umeanzisha mada na umepata replies nyingi jua fika huna sifa ya kuitwa great thinker kwa kuwa huna uwezo wa kufikiria deep zaidi kuliko wengine

Kwa maana mada rahisi kila mtu ana uwezo wa kuchangia ila mada za kiutulivu na zenye kuhitaji uwezo wa hali ya juu kukomenti huwa na replies chache kwa kuwa huchangiwa na great thinkers only

Hivyo basi ukiona umeanzisha thread na umepata replies chache jua fika wewe ni great thinker


Tchaaaoooo
 
Ukianzisha upuuzi raia wasipo replies na ww utaitwa great thinker au?
 
Ukianzisha upuuzi raia wasipo replies na ww utaitwa great thinker au?
nilijua tu komenti kama hii itakuwepo


Ishu ni hivi ukiwa great thinker muda mwingine unaweza kuonekana kichaa/kilaza kwa kuwa utakuwa na mawazo tofauti sana kuliko wengine na ukitaka kuamini hilo angalia asilimia kubwa ya wanasayansi mabingwa wengi wao walionekana vilaza na walikuwa watu wa kuwakosoa malectures wao na mara nyingi walikuwa wanapata alama hafifu kwenye mitihani yao lakini mwisho wa siku wao ndo walionekana walikuwa wapo correct


Nafikiri mpaka hapa umenielewa
 
Collect=correct
 
Collect ×
correct√
 
'Inasemekana' na akina nani yaani credible sources? Halafu idadi ya juu ya replies kwa mada ni ngapi ili mtoa mada awe great thinker? Je great thinking ni relative? Je, huoni kama mada yenye replies nyingi ndio nzuri kwa maana ina-provoke debate na kujenga zaidi kuliko kukosa replies? Wewe katika context ya social media 'reply' unai-define vipi?

Ulishawahi kuona presentation ambayo haina Q&A?
 
Utafiti uko Wapi?
Sijaona utafiti kwenye huu uzi, nilichikiona ni vijimawazo vya katoto
 
hamna cha maana ulichoandika
 
kuna thread zangu mbili hazijapata reply hata moja kwa hiyo na mimi nipo kwenye kundi la great thinkers?,?? 🙁
 
Ukitaka usipate replies nyingi andika kwa kingereza
 
Unachanganya kati ya u-great thinker na popular post, kupata replies kunategemana na aina ya status, umepost wakati gani,inamantiki gani,etc unaweza ukapost utumbo either raia wakakushambulia kwa matus au wakakupuuza kwa kukaa kimya maana kimya nalo ni jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…