Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Inasemekana kama mtu kaanzisha mada na ikapata replies nyingi basi huyo mtu hafai kuitwa great thinker kwa kuwa hana uwezo wa kuandaa mada ambayo itasababisha watu waumize kichwa kwenye kuchangia
Hivyo basi ukiona umeanzisha mada na umepata replies nyingi jua fika huna sifa ya kuitwa great thinker kwa kuwa huna uwezo wa kufikiria deep zaidi kuliko wengine
Kwa maana mada rahisi kila mtu ana uwezo wa kuchangia ila mada za kiutulivu na zenye kuhitaji uwezo wa hali ya juu kukomenti huwa na replies chache kwa kuwa huchangiwa na great thinkers only
Hivyo basi ukiona umeanzisha thread na umepata replies chache jua fika wewe ni great thinker
Tchaaaoooo