Tazama hapa video ya Ali Kiba akiwakebehi Simba SC baada ya kulazimishwa sare na Namungo

Tazama hapa video ya Ali Kiba akiwakebehi Simba SC baada ya kulazimishwa sare na Namungo

Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia.

Sasa bhana hii ni short clip inaonesha wazi jamaa anavyofurahia matokeo mabovu wanayoyapata makolo fc /tabulele fc au ukipenda waite mizoga football club.

Ndio maana hata juzi walivyokuwa Gym na Ommydimpoz akitaniwa kuhusu Simba kufungwa goli tano jamaa alionesha hajali wala nini zaidi na zaidi alikuwa na nyuso ya Furaha muda wote.

Kama hiyo haitoshi kama mnakumbuka kwenye Ile mechi ya ufunguzi Simba alipokuwa anacheza na Al Ahly jamaa aliwatosa kimtindo kuwapigia ngoma yao ya Simba badala yake akawapigia Sumu ile ilikuwa ni ishara tosha jamaa hayupo upande wao.

View attachment 2808959

CHAI
 
Matatizo ya akili ni janga kubwa hapa nchini.

Yani kabisa mtu anataka kumpangia mwingine namna ya kuishi, sad!
Binafsi siwezi kwani ili linawezekanaje inamaana atakueshimiana hakuna maana yoyote
 
Back
Top Bottom