Ameruhusiwa kufunga ndoa kanisani sababu joyce ameshafunga ndoa nyingine ndio maana wamebatilisha ndoa huwa hawavunji wanasema ndoa batili
Sio roman hata kkkt na anglican sijui makanisa ya wokovu ila kwa haya madhebu yetu huwa hawavunji ndoa bali hubatilisha ndoa na mahakama ndio inavunja ndoa tena sababu kuu kama mmoja wa wanandoa amefunga ndoa nyingine bomani au amebadili dini ndio ubatilisha.
Pia kuna process ndefu sana mpaka ubatilisha ndoa inaweza chukua hata mwaka
.......Hata mie nashangaa, ninavyojua ukishafunga ndoa kanisani huwa hakuna talaka.
Talaka inatolewa mahakamani na sio kanisani.
Labda kama mmoja wapo afe, ndipo utafunga tena ndoa ya kanisa.
Ndio maana mwanzo waliamua kufunga ndoa serikalini, sababu kanisa halikukubali.
Nashangaa tena inakuwaje wamerudi kanisani. Ila ndio makanisa ya kidoti.com.
1. KKKT? Kwani amefungia kanisa gani hiyo ndoa?
2. Kubatilisha ndoa wala sio siri. Mfano unafunga ndoa na binti. Baadaye unagundua kuwa ana ndoa halali na mwanaume mwingine waliyetengana. Hakika hiyo ndoa ya pili ni batili. Ama unaoa mwanamke. Anapofia chumbani anagundua kuwa jogoo hawiki na ni tatizo lako la muda mrefu, hiyo ndoa ni batili. Lakini si kwa sababu ya kuzabwa vibao. Ndoa bado inasimama.
3. Kufunga ndoa nyingine bomani ni kuishi katika uzinzi, na kubadili dini haijawahi, na wala haitawahi kuwa sababu ya talaka. Hizi ndio unaziita sababu kuu na kusifia makanisa yako? Soma biblia.
nahisi umeongea kitu ambacho huna hakika kama unakifahamu vizuri. makanisa yote yana uwezo wa kubatilisha ndoa, ila procedures ndio zinatofautiana kwa makanisa. hata yale makanisa makubwa duniani (linaloongelewa hapa likiwa moja wapo) yanaweza kubatilisha ndoa. labda nikuulize kanisa/ dhehebu lipi hilo ambalo haliwezi kubatilisha ndoa?
View attachment 129187
View attachment 129188
Namwona kabidhi wasii mkuu kwa mbaaali, akifungisha ndoa.
hii nadhani ndio ndoa ya kwanza ambayo ilikuwa ya kanisa, ya pili ambayo mume kavaa gwanda la cdm haina mchungaji/kasisi
1. KKKT? Kwani amefungia kanisa gani hiyo ndoa?
2. Kubatilisha ndoa wala sio siri. Mfano unafunga ndoa na binti. Baadaye unagundua kuwa ana ndoa halali na mwanaume mwingine waliyetengana. Hakika hiyo ndoa ya pili ni batili. Ama unaoa mwanamke. Anapofia chumbani anagundua kuwa jogoo hawiki na ni tatizo lako la muda mrefu, hiyo ndoa ni batili. Lakini si kwa sababu ya kuzabwa vibao. Ndoa bado inasimama.
3. Kufunga ndoa nyingine bomani ni kuishi katika uzinzi, na kubadili dini haijawahi, na wala haitawahi kuwa sababu ya talaka. Hizi ndio unaziita sababu kuu na kusifia makanisa yako? Soma biblia.
Joyce Kiria kaolewa tena?
Walau la kuolewa tena halishangazi sana kama la kufunga ndoa tena kanisani!
mumeambiwa ndoa ya kwanza ilifungiwa kanisani,na hii ya pili imefungiwa bomani!! kha!vipi nyie makongosho?
ndoa ya kwanza ndo alifungia kanisani..ya pili kafungia serikalini/bomani
Ya kwanza kanisani na Nelly, ya pili ikaanzia bomani na kilewo, ikaishia kanisani.
bomani halafu kanisani? ebu tupe picha za kanisani
Kanisani na Dj Nelly
Bomani na Kilewo
Kanisani na Kilewo
1. KKKT? Kwani amefungia kanisa gani hiyo ndoa?
2. Kubatilisha ndoa wala sio siri. Mfano unafunga ndoa na binti. Baadaye unagundua kuwa ana ndoa halali na mwanaume mwingine waliyetengana. Hakika hiyo ndoa ya pili ni batili. Ama unaoa mwanamke. Anapofia chumbani anagundua kuwa jogoo hawiki na ni tatizo lako la muda mrefu, hiyo ndoa ni batili. Lakini si kwa sababu ya kuzabwa vibao. Ndoa bado inasimama.
3. Kufunga ndoa nyingine bomani ni kuishi katika uzinzi, na kubadili dini haijawahi, na wala haitawahi kuwa sababu ya talaka. Hizi ndio unaziita sababu kuu na kusifia makanisa yako? Soma biblia.
Hahahahaaaaaaa haya bwana!Gwanda harusini, kweli watu wamekunywa supu ya bendera!