Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Niaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!