Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
ChiefNiaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!View attachment 1082349View attachment 1082350
Muone Daktari kwa ushauri zaidi
Jf ilikuwa zamani,ama sasa hivi,wapaka kiwi ni wengi sana.