Tazama Hii Picha Halafu uniambie Tatizo nini!

Tazama Hii Picha Halafu uniambie Tatizo nini!

Niaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..

Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!View attachment 1082349View attachment 1082350
Chief
Muone Daktari kwa ushauri zaidi
Jf ilikuwa zamani,ama sasa hivi,wapaka kiwi ni wengi sana.
 
Asee hiko kidole kimepima sana oil.. naona bacteria now wanakitafuna taratiiiibu
 
Je ukiangalia vizuri hivyo vipele vinafwata mishipa ya damu kwa juu?
pia vinawasha sana usiku?
pia muda mwingine vinatokea kwenye fungu na kuwasha pia usiku?
pia vinatokea miguuni na kwenye mikono hasa sehemu laini zinazofunikwa na nguo muda mrefu?
 
Mkuu Haviwashi sanaa.. vinatokea mafungu mafungu.. vipo kwenye kiganja kwenye Ngozi Ngumu.. na pia Kwenye kiganja Cha mguu
Je ukiangalia vizuri hivyo vipele vinafwata mishipa ya damu kwa juu?
pia vinawasha sana usiku?
pia muda mwingine vinatokea kwenye fungu na kuwasha pia usiku?
pia vinatokea miguuni na kwenye mikono hasa sehemu laini zinazofunikwa na nguo muda mrefu?
 
Kwa hiyo meza kwanza dawa za minyoo uone kama itaendelea.
Swali la msingi la mleta mada ni kutaka kujua chanzo cha tatizo.
Haishauriwi kutumia dawa pasipo ushauri wa daktari. Mwili sio wa kuufanyia majiaribio kunywa dawa kwa kuzani kuwa huenda ikatibu tatizo fulani ambalo hujui imesababishwa na nini.
Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi
Nenda hospitali, Utapa usahauri na vipimo.
 
Asante Sana Ndugu!
Swali la msingi la mleta mada ni kutaka kujua chanzo cha tatizo.
Haishauriwi kutumia dawa pasipo ushauri wa daktari. Mwili sio wa kuufanyia majiaribio kunywa dawa kwa kuzani kuwa huenda ikatibu tatizo fulani ambalo hujui imesababishwa na nini.

Nenda hospitali, Utapa usahauri na vipimo.
 
Ni mdudu huyo
Lazima kifumuke hicho kidole ndo kinapona
Maumivu yake usipime.!
Na wanasema dawa ya mdudu ni kulaza kidole ndani ya nyuchi usiku kucha! Unasemaje katika hilo [emoji41]
 
Mdudu gani
Jina ndo hivo hivo anaitwa Mdudu,ila kuna Majina ya kienyeji pamoja na kitaalamu,

Yaani ni Mithiri ya funza akikamata hicho kidole,hatoki hadi apasuliwe,na kupasuliwa ni hadi aive,

Sasa hayo Maumivu yake unapomsubiri aive,USIOMBE.

Na akishatolewa anakuachia kilema either ukucha huna au kidole hakinyooki Mpaka kufa kwako.
 
Mkuu hivo vipele vimetoka makundi makundi..sio mkono mmoja Tu Hadi wa Pili

Back
Top Bottom