Niaje wadau vidole vyangu vya Mikono vimekiwa vikiwasha na Kutoka vipele ambavyo vipo Kwa mbali kama vionekanavyo hapo pichani.. isitoshe nimekuwa na kauchovu flani.. Mafua yasiyoisha mwezi na Kitu.. pia Kwenye vidole vya Miguu Kuna muwasho kama wa fungus hivi..
Tazama hizi picha kisha uniambie ni Tatizo gani!View attachment 1082349View attachment 1082350
Kisiposhughulikiwa ipasavyo kitaondoka na kucha hapo.!Mmmh Kiaje
Kama ni mdudu dawa yake atafute ndimu aitobowe avae kama pete kila siku hatokuja juu.Ni mdudu huyo
Lazima kifumuke hicho kidole ndo kinapona
Maumivu yake usipime.!
Na ameze dawa ya minyoooHivi siyo vile vya mdudu. Ninaona ni vidogo. Ila vitafika mahali vitakauka na kutoa magamba fulani yataumuka na utayatoa kama dead skin. Hapo ni udhaifu mwilini wa kinga au hormones. Hivyo nakushauri nenda hospital fanya full blood count na kipimo cha hormone T3, T4 na ISH plus Cortisol levels kwa kuwa unasema una uchovu.
Hivi siyo vile vya mdudu. Ninaona ni vidogo. Ila vitafika mahali vitakauka na kutoa magamba fulani yataumuka na utayatoa kama dead skin. Hapo ni udhaifu mwilini wa kinga au hormones. Hivyo nakushauri nenda hospital fanya full blood count na kipimo cha hormone T3, T4 na ISH plus Cortisol levels kwa kuwa unasema una uchovu.