Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Habari za Masiku Wanazuoni wenzangu, Kutokana na Majukumu Mengi Nashindwa kuwa Active Kila Muda Humu.
Kuna Pdf za Vitabu nimezipata ni Nzuri Mno hasa kwa wahandisi wa Ujenzi.. Kwa Mwenye Kufahamu anaweza Kunisaidia ni Vitabu gani hivi? Vinaonekana ni vitabu vya Mtu Mmoja au Printing Press Moja.
Architectus