Tazama Hizi "PDF" halafu uniambie ni kitabu Gani!

Tazama Hizi "PDF" halafu uniambie ni kitabu Gani!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Habari za Masiku Wanazuoni wenzangu, Kutokana na Majukumu Mengi Nashindwa kuwa Active Kila Muda Humu.
Kuna Pdf za Vitabu nimezipata ni Nzuri Mno hasa kwa wahandisi wa Ujenzi.. Kwa Mwenye Kufahamu anaweza Kunisaidia ni Vitabu gani hivi? Vinaonekana ni vitabu vya Mtu Mmoja au Printing Press Moja.

Architectus
 
Attachments

Kila siku tuko wrote humu hafu unstuchoresha..
Achana Na shule tafuta pesa dogo. Elimu bongo hailipi. Mchina anapewa tends we we unapewa kibali
Kinacholipa ni nini? sitarajii mtu kama wewe, kuandika Comment kama hii..
 
Huyo ndio kakukichimba mkwara ukatulia.Kuwa makini ,huyo jamaa atakutoa macho hayo
Huyu ni MTU Ninae heshimiana nae mno ndo maana niliopoona nimemkwaza imebidi nimwombe radhi.
Dogo soma usaidie familia.. Najua boom haisomi kwako unashindia ubuyu tu huko dom
 
Huyu ni MTU Ninae heshimiana nae mno ndo maana niliopoona nimemkwaza imebidi nimwombe radhi.
Dogo soma usaidie familia.. Najua boom haisomi kwako unashindia ubuyu tu huko dom
Nishamaliza chuo
 
Back
Top Bottom