Sorry broh nilikua nimeandika kiutani. Ngoja niifute commentKinacholipa ni nini? sitarajii mtu kama wewe, kuandika Comment kama hii..
Amen!One Love Boss!
Dogo siku nyingine utapigwa.Wee endelea tu kuchokoza watuAmen!
But I'm very Sorry
Dogo maiti wacha mikwara ya andunje..Dogo siku nyingine utapigwa.Wee endelea tu kuchokoza watu
Huyo ndio kakukichimba mkwara ukatulia.Kuwa makini ,huyo jamaa atakutoa macho hayoDogo maiti wacha mikwara ya andunje..
Huyu ni MTU Ninae heshimiana nae mno ndo maana niliopoona nimemkwaza imebidi nimwombe radhi.Huyo ndio kakukichimba mkwara ukatulia.Kuwa makini ,huyo jamaa atakutoa macho hayo
Nishamaliza chuoHuyu ni MTU Ninae heshimiana nae mno ndo maana niliopoona nimemkwaza imebidi nimwombe radhi.
Dogo soma usaidie familia.. Najua boom haisomi kwako unashindia ubuyu tu huko dom
Pole sana nakua unaiasoma namba kitaa. Kama upon interested nikuunge Na watu wanaopeleka walinzi Sana'a Yemen Na Beirut Lebanon. Ukawe Guerilla warfareNishamaliza chuo
Baba yangu ni waziriPole sana nakua unaiasoma namba kitaa. Kama upon interested nikuunge Na watu wanaopeleka walinzi Sana'a Yemen Na Beirut Lebanon. Ukawe Guerilla warfare
Waziri wa mashabiki wa tanga hapo kitaa chenuBaba yangu ni waziri
Kwetu wote tunashabikia team yetu Gongo la mboto United.Karibu Ukonga mkuuWaziri wa mashabiki wa tanga hapo kitaa chenu
HahahahaHuyo ndio kakukichimba mkwara ukatulia.Kuwa makini ,huyo jamaa atakutoa macho hayo