Tazama Jins aliyoivaa Leo Jackline Wolper na Kuzua Utata Mkubwa ni Full Mitego

Tazama Jins aliyoivaa Leo Jackline Wolper na Kuzua Utata Mkubwa ni Full Mitego

hivi wanatoa wapi pesa za kufanya luxurious hizi zooote?

mbona movie bongo hazilipi kiviile?
 
Uwe unaedit ama kufanya
kautafit basi kabla hujapost..hiyo pic nyingine ni Huddah na si Wolper
 
Sasa hiv kila mtu utaona kazivaa mitaani

hivi hawa wanaoitwa bongo movie stars nao wana-set trends for others to follow?maajabu,unakuta na yeye kamuona agyness deyn akaiga.
g2810_photo01.jpg
 
hivi wanatoa wapi pesa za kufanya luxurious hizi zooote?

mbona movie bongo hazilipi kiviile?

wadau kama clement wa wema hawakosekani mkuu,kuna watu wana pesa ambazo hawajui ata wazifanyie nini,hivyo kazi yao kubwa ni kuhonga hawa dada zetu ambao wana tamaa na hawapendi kuishi maisha yao halisi.
 
Huyo huddah huo mkono kaficha nini hapo? Au macho yangu yameanza kufifia nuru!
 
Back
Top Bottom