Tazama jinsi Biashara ya pombe ina hela sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.

Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.

Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.

Tubaya huto tupombe
 
yani ukiuza katoni 50 za bonus unapata 2.5 Mil , na ukiuza mzigo wa katoni 500 za Milioni 22.5 unapata faida ya 1.5 Mil! Mbona hai make sense ku risk Millioni 22.5 ili upate 1.5Mil
 
Mahesabu aliyoweka hapa ni kwa wale wauzaji wa jumla.

Cartons 500 kwa muuzaji wa jumla hazichukui round... Wauzaji wa reja reja ndio wanapiga hela nyingi lakini ya kusubiria
 
Kwa rejareja box liko Na Zed 30 ambazo zinaweza kuleta 60000 so 12000 Ni faida kwa kila box Sasa ukiziuza box 100 kwa rejareja japo inaweza kuchukua mwaka mzima utapata 1200000 Kama faida bado hujamfikia huyu wa jumla asee
 
Uko sahihi mkuu.
 
Ooh
 
Ubaya wa hizo pombe ukinywa unafanana nazo.
Kuna pombe zina sula yake ukinywa shimwaa unafanana nayo mpaka harufu,sijui chitoko,sijui upuuzi gani yani unaweza kusema zina makabira zinavo tofautisha wanywaji na sura zake za walevi
 
Hahahahaha
 
yani ukiuza katoni 50 za bonus unapata 2.5 Mil , na ukiuza mzigo wa katoni 500 za Milioni 22.5 unapata faida ya 1.5 Mil! Mbona hai make sense ku risk Millioni 22.5 ili upate 1.5Mil
Kuna mtu ana risk 67.5M (25,000$)ili apate faida 2,796,400,hapo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…