ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.
Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.
Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.