Sio wa daladala anafunga mali Kariakoo na kupeleka sehemu,umbali km zaidi ya 1,000 kutoka Dar.Ahaha hao watakua wa biashara za daladala
Kupanga ni kuchagua.. ukaye na mzigo miezi na miezi au uuze kwa chap chap.Mahesabu aliyoweka hapa ni kwa wale wauzaji wa jumla.
Cartons 500 kwa muuzaji wa jumla hazichukui round... Wauzaji wa reja reja ndio wanapiga hela nyingi lakini ya kusubiria
Unaweza yumba ila hujui kama unayumbaNASHUKURU sijawahi kuwa mpenzi wa spirit kabisa.
Nikiwahi test nyagi sikuofurahia.
Pia nishawahi test k vant sikuifurahi.
Mi kilo lager safi kabisa sema nayo naanza kuikataa muda si mrefu sababu wanachakachua ladha sana.
Ukinywa kill lager ya bar hii ukihamia Ile ingine ladha tofauti kabisa.
Sijawahi lewa na kupepesuka mitaani.
Nikinywa bia huwa nakajikaza natembea kwa kunyooka kama askari tena kwa mwesdo mkali[emoji2]
Underrated comment[emoji23]Ubaya wa hizo pombe ukinywa unafanana nazo.
Kuna pombe zina sula yake ukinywa shimwaa unafanana nayo mpaka harufu,sijui chitoko,sijui upuuzi gani yani unaweza kusema zina makabira zinavo tofautisha wanywaji na sura zake za walevi
We mlevi tu katika stage za mwanzoNASHUKURU sijawahi kuwa mpenzi wa spirit kabisa.
Nikiwahi test nyagi sikuofurahia.
Pia nishawahi test k vant sikuifurahi.
Mi kilo lager safi kabisa sema nayo naanza kuikataa muda si mrefu sababu wanachakachua ladha sana.
Ukinywa kill lager ya bar hii ukihamia Ile ingine ladha tofauti kabisa.
Sijawahi lewa na kupepesuka mitaani.
Nikinywa bia huwa nakajikaza natembea kwa kunyooka kama askari tena kwa mwesdo mkali[emoji2]
hapa kwenye ladha nadhani inategemea na anaekuhudumia[emoji2][emoji2][emoji2]NASHUKURU sijawahi kuwa mpenzi wa spirit kabisa.
Nikiwahi test nyagi sikuofurahia.
Pia nishawahi test k vant sikuifurahi.
Mi kilo lager safi kabisa sema nayo naanza kuikataa muda si mrefu sababu wanachakachua ladha sana.
Ukinywa kill lager ya bar hii ukihamia Ile ingine ladha tofauti kabisa.
Sijawahi lewa na kupepesuka mitaani.
Nikinywa bia huwa nakajikaza natembea kwa kunyooka kama askari tena kwa mwesdo mkali[emoji2]
1. Unaziuza kwa shi ngapi?Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.
Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.
Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.
View attachment 1691686
Hahahaaaaaa we jamaaUbaya wa hizo pombe ukinywa unafanana nazo.
Kuna pombe zina sula yake ukinywa shimwaa unafanana nayo mpaka harufu,sijui chitoko,sijui upuuzi gani yani unaweza kusema zina makabira zinavo tofautisha wanywaji na sura zake za walevi
Cc. Tajiri Mulokozi ,Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.
Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.
Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.
View attachment 1691686
Wazee wazamani walikunywa sana locally izo pombe Kali mfnWagonjwa wa figo wameongezeka sana, hizi ni gongo zilizochangamka
zamani kulikua na ethicsWazee wazamani walikunywa sana locally izo pombe Kali mfn
Number one, pure, gongo, karinya, lubisi, lakini hawakuugua figo mbona...
Sijafikia steji ya kuitwa mlevi.We mlevi tu katika stage za mwanzo
Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.
Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.
Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.
View attachment 1691686
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza yumba ila hujui kama unayumba
Hii kitu zed ni nzuri sana ilinifaulisha moku,na wakaiba matokeo ya form fourNazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.
Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.
Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.
View attachment 1691686
EeehHii kitu zed ni nzuri sana ilinifaulisha moku,na wakaiba matokeo ya form four