Tazama jinsi Biashara ya pombe ina hela sana

Mahesabu aliyoweka hapa ni kwa wale wauzaji wa jumla.

Cartons 500 kwa muuzaji wa jumla hazichukui round... Wauzaji wa reja reja ndio wanapiga hela nyingi lakini ya kusubiria
Kupanga ni kuchagua.. ukaye na mzigo miezi na miezi au uuze kwa chap chap.
 
NASHUKURU sijawahi kuwa mpenzi wa spirit kabisa.

Nikiwahi test nyagi sikuofurahia.

Pia nishawahi test k vant sikuifurahi.

Mi kilo lager safi kabisa sema nayo naanza kuikataa muda si mrefu sababu wanachakachua ladha sana.

Ukinywa kill lager ya bar hii ukihamia Ile ingine ladha tofauti kabisa.

Sijawahi lewa na kupepesuka mitaani.

Nikinywa bia huwa nakajikaza natembea kwa kunyooka kama askari tena kwa mwesdo mkali[emoji2]
 
Unaweza yumba ila hujui kama unayumba
 
Ubaya wa hizo pombe ukinywa unafanana nazo.
Kuna pombe zina sula yake ukinywa shimwaa unafanana nayo mpaka harufu,sijui chitoko,sijui upuuzi gani yani unaweza kusema zina makabira zinavo tofautisha wanywaji na sura zake za walevi
Underrated comment[emoji23]

Nimecheka sana.
 
NASHUKURU sijawahi kuwa mpenzi wa spirit kabisa.

Nikiwahi test nyagi sikuofurahia.

Pia nishawahi test k vant sikuifurahi.

Mi kilo lager safi kabisa sema nayo naanza kuikataa muda si mrefu sababu wanachakachua ladha sana.

Ukinywa kill lager ya bar hii ukihamia Ile ingine ladha tofauti kabisa.

Sijawahi lewa na kupepesuka mitaani.

Nikinywa bia huwa nakajikaza natembea kwa kunyooka kama askari tena kwa mwesdo mkali[emoji2]
We mlevi tu katika stage za mwanzo
 
hapa kwenye ladha nadhani inategemea na anaekuhudumia[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.

Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.

Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.

View attachment 1691686
1. Unaziuza kwa shi ngapi?
2. Mzigo unakufikia site cost gani?
3. Frame ya kuuzia kodi bei gani?

4. Mfanya kazi anayeuza anakula, kusafiri na kulala wapi? Mshahara wake?
5. Kodi ya TRA
6. Usafi wa Masoko/ halmashauri
 
Ubaya wa hizo pombe ukinywa unafanana nazo.
Kuna pombe zina sula yake ukinywa shimwaa unafanana nayo mpaka harufu,sijui chitoko,sijui upuuzi gani yani unaweza kusema zina makabira zinavo tofautisha wanywaji na sura zake za walevi
Hahahaaaaaa we jamaa
 
Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.

Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.

Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.

View attachment 1691686
Cc. Tajiri Mulokozi ,
Jamaa ni inspirational sana Kwa vijana wanao jitafuta..

Nampenda jamaa yupo humble sana na sio mjivuni..

Kwa ambae hamfahamu Boss MULOKOZI aingie AYO TV Kuna interview yake na millad ayo..

Cc. Ndege John
 
We mlevi tu katika stage za mwanzo
Sijafikia steji ya kuitwa mlevi.

Mimi ni mnywaji.

Niko smart sinuki pombe na nakunywa rarely sio Kila siku kushinda bar.

Sio kwamba Sina Hela ya bia ila hamu za kunywa mara kwa mara Sina.
 
Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.

Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.

Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.

View attachment 1691686

Kwanini box za bonus ziuzwe 45k

Na box 500 ulizonunua uziuze 48k

Nilidhani zote utauza bei moja for 48k
 
Nazungumzua hizi pombe za 2000 kwa mfano ukiagiza Mzigo wa kampuni ya MATI SUPER BRANDS LIMITED wenye vinywaji kama vile Zed na strong spirit unapata faida kubwa sana.

Ukiagiza katoni 500 kwa shilingi million 22.5 unapewa na box 50 za bonus ambazo hizi bonus tu ukiziuza kwa 45000 kila box moja unapata million 2.5 na hizi box 500 ukiziuza kwa 45000-48000 unapata faida ya million 1.5.

Sasa ukiagiza gari mbili tu kwa mwezi una zaidi ya million tano.

View attachment 1691686
Hii kitu zed ni nzuri sana ilinifaulisha moku,na wakaiba matokeo ya form four
 
Back
Top Bottom