Tazama jinsi Hamas walivyokuwa wakichimbua mabomba na kuharibu miundombinu ya maji kutengeneza roketi

Tazama jinsi Hamas walivyokuwa wakichimbua mabomba na kuharibu miundombinu ya maji kutengeneza roketi

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kwao kuua waisrael ni kipaumbele kuzidi mahitaji ya raia.

Mambomba haya yaliwekwa kukidhi mahitaji ya wagaza lakini yalichimbuliwa kutengeneza roketi,

 
Ndo warekodi hatua zote hvyo,yaan wapate poda za kuweka kwenye hayo mabomba wakose hela za kununua bomba
 
Uhuru ni gharama sana boss. Wapalestina hawataacha kupigana miaka nenda rudi. Hawataacha kupigana hata kama vita dhidi ya Mkoloni itatishia uzao wao kupotea
 
Hii ni Habari ya Miaka mingi sana mbona
 
Kwao kuua waisrael ni kipaumbele kuzidi mahitaji ya raia.

Mambomba haya yaliwekwa kukidhi mahitaji ya wagaza lakini yalichimbuliwa kutengeneza roketi,

View attachment 3498652
Sasa hivi kiko wapi na video zao za Propaganda
Wanaishi mashimoni kama mapanya buku baada ya wenzao kupelekwa akhera
 
Back
Top Bottom