Jichanganye ewe kijana uibe kuku.....utafungwa miaka 20.
Jichanganye ewe askari polisi, hakimu, daktari na nesi, ule rushwa ya laki moja tu. Utafutwa kazi na kifungo cha miaka 20.
Jichanganye ewe mwalimu ucheze muziki wa Zuchu tu. Utafutwa cheo na kama huna cheo utafutwa kazi.
N.B: Kama bado unaipenda Tanzania utakuwa chizi.