Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Polisi anaogopa hata kumsogelea, maana anajiona mdogo kama dagaa nyuma ya FISADI PAPA!View attachment 2808207
*Jichanganye ewe kijana uibe kuku.....utafungwa miaka 20.
*Jichanganye ewe askari polisi, hakimu, daktari na nesi, ule rushwa ya laki moja tu. Utafutwa kazi na kifungo cha miaka 20.
* Jichanganye ewe mwalimu ucheze muziki wa Zuchu tu. Utafutwa cheo na kama huna cheo utafutwa kazi.
N.B: Kama bado unaipenda Tanzania utakuwa chizi.