Tazama jinsi wakubwa wanavyolindana kwenye suala la ufisadi

Polisi anaogopa hata kumsogelea, maana anajiona mdogo kama dagaa nyuma ya FISADI PAPA!
 
Polisi anaogopa hata kumsogelea, maana anajiona mdogo kama dagaa nyuma ya FISADI PAPA!
Lazima polisi ajione mdogo, maana usikute hana hata mia kwenye akaunti yake, anaishi kwa mikopo ya kausha damu.

Halafu fisadi lina mabilioni ya shilingi kwenye akaunti na vitega uchumi kibao
 
Hakimu aliyehukumu binti akaozee miaka 22 jela alipewa kimemo kutoka kusikojulikana na atapanda cheo soon
 
Mali za nchi yetu ni haki yao sio sisi. Inatia hasira kummqe yaani mafisadi wanalindana wazi wazi ni lini watanzania tutaamka
 
Ccm Inatia Kinyaa Sana Hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…