Tazama JKIA Terminal 1B, 1C currently U/C

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Baada ya JKIA Terminal 1A kupanuliwa na kujengwa na technolojia ya kisasa, sasa wameamua kuvunja 1C na 1D na kuzijenga upya





Terminal 1A ilishapanuliwa na kufanyiwa hivi


Sasa huko kwa 1B na 1C ndo kulikua bado airport ya zamani



Baada ya upanuzi hapo kati kati ambapo sahii hua ni parking bay (p3 and p4) pataondolewa kwasababu ya upanuzi wa 1B and 1C zitakua kubwa zaidi (this pic is curtesy of "JARIBU" from SCC ) All that area will become T1B and T1C



Ikimalizika itakua kama hivi



Na tukumalizia hivi ndo ndani itakaa by end of 2022!


Wanatumia totaly new concept that is centered on enhancing customer experience, yani airport wont be just about immigration and VISA/passport stamping, it will be all about giving the customer the best feeling and experience while passing through.


 
Sisi kwetu hapa tz tunavyo Kama 4hivi Sasa we unashangaa hicho tu๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Nice one. Nakumbuka in 2019 coming back using Qatar airways. The terminal that I used was quite old. I am glad to see it getting upgraded and capacity being expanded.
 
Labda ila hiyo concept uliyoweka hapa wanaiona abiria wanaondoka tu kwa ndani.

Ukiingia tu pale mlangoni kwenye revolving doors unakutana na warehouse au godown refu lenye AC kali na vi counter vimepangwa hapa na pale na yale mabango ya departures/ arrivals kila mahali.

Labda free WIFI mengineyo airport ya ya Nairobi ambayo ya kitambo kidogo wametuacha mbali tu.
 
Mimi nilitaka kudhani kuwa labda hapa ni Heathrow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ