Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

Kwa hiyo diamond akijenga nyumba ndo tayari music unalipa......
Km 1.5% ya wanamusic wamejenga basi music unalipa?
 
ingependeza zaidi kama ungeiweka hiyo video hapa.
ila wasanii walio wengi wana nyumba sema hawaishi kwenye hizo nyumba zao walizojenga/kununua bali wanaenda kuishi kwenye nyumba za kupanga
Hii inaweza kusababishwa na nini mkuu? Nikwamba wanajenga/kununua nyumba ambazo baadae wanahisi haziemdani na status zao ama
 
Jamaa katoka kijijini kaja town kwa shemeji anagongea Simu ya Beki 3, hajui kutofautisha kati ya picha ya nyumba na Mchoro wa nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…