Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Mbona meonekano wake ni kama CGI! Au macho yangu yameanza kuzeeka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekalilishwa ebu lete Ushahidi kua analipa 40m kwa mwezi.Yes naweza nikasema anayo kwa kuangalia tuu mauzo yake ya music namaanisha online platform, shows alizofanya , matangazo kweny makampuni makubwa . Kama anawalipa TRA 40M kwa mwezi kwann asiwe na billion
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu siyo uthibitisho wa kua analipa 40m, Ikizingatia Alipokua amepanga kwenye jengo la Media ya Wasafi alitimuliwa kwa Kutokulipa kodi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dalalikiongozi liked your post
Lakini bado ni nyumba.Hongera kwa kutuprove long. Sasa mbona nyumba yenyewe ya kuchora?
WE MKEWE?Amepanga acha kutuzingua.yes,mziki unalipa lakni hawa wasanii kujenga sijui wanaonaje
Hii inaweza kusababishwa na nini mkuu? Nikwamba wanajenga/kununua nyumba ambazo baadae wanahisi haziemdani na status zao amaingependeza zaidi kama ungeiweka hiyo video hapa.
ila wasanii walio wengi wana nyumba sema hawaishi kwenye hizo nyumba zao walizojenga/kununua bali wanaenda kuishi kwenye nyumba za kupanga
Umeolewa naona
Kamwachia mama yake.Kwani kule madale vipi
Hii ni nyingine madale kamwachia mama yake.