Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

Nyumba za mafisadi Mbezi beach zinakosa wapangaji unakuta jumba lote hilo kapanga kwa 1.5m kwa mwezi...wezi wa serikalini anzisheni makampuni vijana wapate ajira kuliko kuzika mabilioni kijinga
 
Yes naweza nikasema anayo kwa kuangalia tuu mauzo yake ya music namaanisha online platform, shows alizofanya , matangazo kweny makampuni makubwa . Kama anawalipa TRA 40M kwa mwezi kwann asiwe na billion

Sent using Jamii Forums mobile app
Ugali ulihusika, alichimbwa biti aache lasivyo agepotezwa. Vijana msidhani kila king’aacho ni dhahabu. Ni mbunifu sana ila ugali ulimpatia bonge la boost na madame baada ya kuona 5 haina mzaha akasepa maana angekuwa kolokoloni kwa sababu ni architect wa ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…