Sawa narudi,nikitoka huko nachora nyumba nyingine.Rudi karantini plz
nimekuuliza uliochora au uliyojenga?.Sawa narudi,nikitoka huko nachora nyumba nyingine.
wewe kama unakaa kwenye nyumba ambayo haikuwahi kuchorwa,kumbuka itakua ni nyumba ya babu wa zamani ndo walikuwa wanaanza kwa kujenga tu,atajua fundi.
Kwani tunaongelea ramani ya nyumba iliyochorwa au tunazungumzia ramani ya nyumba uliyochorwa,tulia achana na mawazo ya Corona utachanganyikiwa.nimekuuliza uliochora au uliyojenga?.
Ukasema imechorwa.. ?
Kinachochorwa ni ramani ya nyumba.
Nyumba inajengwa..
Rudi kalantini haraka
ndugu yangu acha nimuite dada ya corona aje kukuchukua naonaKwani tunaongelea ramani ya nyumba iliyochorwa au tunazungumzia ramani ya nyumba uliyochorwa,tulia achana na mawazo ya Corona utachanganyikiwa.
Hii happa bossWeka posts ya ilo jumba lake mkuu!! maana madale alikuwa anaipost sana.
Kuna watu wanadanganyana wanasema mziki wa bongo haulipi ila kwa wasanii wenye akili na malengo kama bwana platnumz hapo ameamua kutuprove long View attachment 1426473
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa makadilio ya watu wa majengo wanasema inaweza kuanzia 1.5 B mpk 2 sabb hiyo nyumba amejenga mbezi beach
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa muite faster,namsubiria huyu dada ya corona,au nipe namba zake nimfatute haraka haraka.ndugu yangu acha nimuite dada ya corona aje kukuchukua naona
Acha wivu mzee baba na wewe pambana upate maisha Kama hayoRudi karantini plz
Naona umejshtukia hii ilibidi nikwambie ww yaani umeniwahi tuAcha wivu mzee baba na wewe pambana upate maisha Kama hayo
Mjenga--aiseeNyumba haijachorwa hapo nimeiscreen shot hiyo ni video inaonesha huo mjenga na kipande cha mbele inaeonesha diamond anatoka ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wivu.Mzee baba mbona wivu
Acha chuki na double standard diamond hajawahi kupost kitanda mbona watu wakimchukia Harmonize unawaka Kama mbongo wakati wewe mwenyewe unamchukia diamondHakuna wivu.
Ila jamaa mpaka kitanda anacholalia watu wanakijua.
Sijaona sehemu inayoonyesha ni nyumba yake.
Kwahiyo nyumba Ni ya Nani? Mzee baba acha wivu usio na maana kwa vijana wanaojituma kupitia jasho laoSijaona sehemu inayoonyesha ni nyumba yake.
Kwa hiyo jibu limepatikana?Kwahiyo nyumba Ni ya Nani? Mzee baba acha wivu usio na maana kwa vijana wanaojituma kupitia jasho lao