Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

Hiyo ni nyumba ya mke wa Kusaga, Diamond anapenda Kiki tu.
 
Msikurupuke wakati mwingine,mwenye interview mwenyewe kasema amepanga
Kwahiyo nyumba Ni ya Nani? Mzee baba acha wivu usio na maana kwa vijana wanaojituma kupitia jasho lao

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Watu sijui ujasiri wa kusema DIAMOND ana uwezo kulipia pango kwa kaya 600 sijui wanaupata wapi
 
Duuuh kumbe sio yake.. Kumbe jamaa fix fix nyingi ee. Ukute hata yale magari ya yake aisee..

Kumbe ndio maana wazazi wake meneja wake Tale wanaishi kwenye lipagala tu. Does this mean kuna watu behind ndio wanatafuna jasho lote la hawa watu au?? Mbona pesa wanapata nyingi tu
 
Kuna watu ndo wamiliki wanachofanya ni kumuweka mbele Diamond kama mmiiliki, kuna wanasiasa ndani yake, wengine wa dili illegal wanatakatishia humo humo
 
Watu tuliwaambia DIAMOND fix tu wahuni kibao wanamtambuka mbali sana hela. sema yy ni maarufu tu. Wengi wanashtua media zinavyompandisha kuwa TAJIRI ila ni kapuku kama wengine.
HANA HOTEL
HANA MAGARI YA MAANA
HANA UWEZO WA KULIPIA WATU 600 PANGO
AMEJAA FIX TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…