Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

IMG_5277.JPG
 
Kuna watu wanadanganyana wanasema mziki wa bongo haulipi ila kwa wasanii wenye akili na malengo kama bwana platnumz hapo ameamua kutuprove long View attachment 1426473

Sent using Jamii Forums mobile app
MBONA UNACHUKULIA KAMA NI SPECIAL ISSUE WAKATI NI KITU CHA KAWAIDA.. NA KILA MMOJA ANAJENGA KULINGANA NA KIPATO CHAKE..

Labda mimi naona tafauti na wenginge mana hiyo nyumba kwa tathmini ya jengo kwa haraka ni Milllion 900 mpaka 1500 Million (Bil 1.5) itategemea na ubora wa material uliotumika na kampuni aliojengea.

Sasa ukiangalia ichokiwango ni kidogo sana kwakwe, kwahiyo sio big deal ya kuanza kushangaa tena na kuzua mijadala.

Hiyo ni nyumba ambayo hata mwananchi wa kawaida mwenye kipato kizuri anaweza kujenga.. Hata ONTARIO wa JF uwezo huo anao (kutokana na kiwango cha hela ambacho anacho) na ukitizama ni kijana mdogo tu ambae hata 27years sijui kama kashafikisha.

Kwahio mimi nadhani, kujenga iyo nyumba sio big deal kiivyo mnavoikuza, hiyo nyumba ni ya kawaida sana hasa ukilinganisha na Status yake (diamond) kitaifa, kiafrika na kidunia..


Mwisho kabisa, nadhani hata wewe mleta mada unao uwezo wa kujenga hiyo nyumba, muhimu kujituma na kuwa serious na maisha, kuanguka imo lakini lazima tusonge mbele..

Muhimu tuwache ushabiki na mapambio yasiyo natija kwenye maisha yetu, unless tutafanywa misukule kilasiku..



TUAMKE.. KUMEKUCHA.. CHUKUA HATUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom