Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 24
- 55
Unaweza Ukawa Mgeni CCM Ila Usishindwe Kufahamu Kuwa Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. SSH, Ameitekeleza Ilani, Kwani;
1. Kaimarisha Demokrasia
2. Kazingatia Usawa wa Kijinsia
3. Kainua Sekta Ya Utalii
4. Ushirikiano Wake Kwenye Michezo Leo
Hii Tuna Timu Za Ndani Zinazofanya
Vizuri Kimataifa
5. Tuna Uhuru Ulio Direct na Indirect
6. Kafungua Milango Ya Ajira, Na Anaendelea Kuchipua Miradi Mbalimbali Ili Kuongeza Mianya Ya Ajira
7. Kaendelea Kuimarisha Ulinzi na Usalama Kwenye Mipaka Ya Nchi
8. Tanzania Inaendelea Kuimarika
Kimahusiano na Mataifa Mengine
9. Shirika La Ndege Analiendeleza, Japo Faida Yake Itakuja Kuonekana Baadaye
10. Anaendelea Kuboresha Sekta
Mbalimbali Kwa Njla Moja Au Nyingine, Elimu, Kilimo, Afya, n.k
11. Hana Ubaguzi, Msikivu, Na Msuluhishaji
Hapo Pichani Ni Miongoni mwa Miradi (Shule, Ujenzi wa Kituo cha Polisi, Ujenzi wa Vyoo, Uboreshwaji wa Majengo na Ujenzi wa Wodi Mpya Kwenye Hospitali Ya Wilaya Kivule, Ukamilishwaji wa Shule Ya Kidato Cha Tano na Cha Sita Ya Kivule, Na Kadhalika Aliyoitekeleza Kwenye Kata Ya Kivule, Iliyopo Wilaya Ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
KAZI IENDELEE 🇹🇿