Msipokuwa makini Chadema mtaua watu kwa presha😀😀No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.
View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19
CCM hoi bini taabani.
Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.
Yale majibwa ya kijani si yalisema Wenje katengwa na akina Heche, Lema na Mnyika?No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.
View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19
CCM hoi bini taabani.
Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja
Yafe tu! Hata yule kiongozi mkubwa ndani ya CCM ambaye nilisema nilibahatika kumla akifa kwa puresha ni sawa tu!Msipokuwa makini Chadema mtaua watu kwa presha😀😀
Ulimla nani? Acha ibaki siri yako.Yafe tu! Hata yule kiongozi mkubwa ndani ya CCM ambaye nilisema nilibahatika kumla akifa kwa puresha ni sawa tu!
Hawaamini wanachokiona, walifikiri kumkamata Lissu na kupush hao waganga njaa kutarudisha nyuma chama, kumbe ndo kwanza asubuhi.Msipokuwa makini Chadema mtaua watu kwa presha😀😀
SHangazi anachapia sanaNo reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.
View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19
CCM hoi bini taabani.
Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.
Watz wameamka.....hawana mzaha tena.Hawaamini wanachokiona, walifikiri kumkamata Lissu na kupush hao waganga njaa kutarudisha nyuma chama, kumbe ndo kwanza asubuhi.
Inawezekana hamna ukweli ni propaganda njaa tu za kisiasa.Yale majibwa ya kijani si yalisema Wenje katengwa na akina Heche, Lema na Mnyika?
No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.
View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19
CCM hoi bini taabani.
Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.
Heko Chadema,heko Heche,heko Geita.No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19
Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.
View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19
CCM hoi bini taabani.
Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.
Na wale wanufaika wa uchafuzi tuNi mbumbumbu pekee anaweza kubeza No Reforms...
Wanaunda chama mbadala wa chadema - chauma - teh teh tehMwisho wa ccm umefika rasmi
Chama kipo ndani ya damu wananchi. Muda utaongea! Lissu akitoka utaona furaha za watu na mafuriko makubwa. Viva LissuHawaamini wanachokiona, walifikiri kumkamata Lissu na kupush hao waganga njaa kutarudisha nyuma chama, kumbe ndo kwanza asubuhi.
Siku ametoka kolokoloni sijui itakuwaje, sipati picha aisee.Chama kipo ndani ya damu wananchi. Muda utaongea! Lissu akitoka utaona furaha za watu na mafuriko makubwa. Viva Lissu
😂😂😂Ulimkula Kiongozi?Yafe tu! Hata yule kiongozi mkubwa ndani ya CCM ambaye nilisema nilibahatika kumla akifa kwa puresha ni sawa tu!