PreGE2025 Tazama kimbunga cha No reforms no election Geita, Wenje aseme ahami chama, CCM hoi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
mkutano mfanyie stendi ya bus kweli? washubi wamekuja kusikiliza muziki wa singeli
 
No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.

View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19

Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.

View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19

CCM hoi bini taabani.

Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.

Wenje ni mwanasiasa mkomavu .
Mwenyekiti wa Kanda ni mtu mkubwa sana ndani ya Chama .
Kufanya siasa zenye ukomavu ni jambo zuri sana .
Chama chenye wanachama mil. 10 + ni mtaji mkubwa sana kwa mtu mwenye maono ya mbele kuhama Chadema ni kujiua kisiasa maana CCM itaishia awamu hii ya Samia hata akipewa miaka 20 haiwezi kupokelewa na mtu mwingine tena.

Siasa za dunia ni miaka mitano ya dhiki kwa wanyonge na miaka mitano ya furaha na neema kwa wanyonge ,Mitano ya vilio kwa matajiri na mitano kwa neema na kufanya biashara holela kama ilivyo awamu hii.

2026 kwenda mbele Wafanyabiashara wakubwa watalia sana maana hali itageuka kuelekea kwa wanyonge .
Lengo ni kuwafanya wote waishi kama binadamu na kujinyenyeza kwa Mungu .
 
Akiunguruma huku akishangiliwa na maelfu ya wana Katoro, John Heche ameonekana kuwa ni mwiba mkali kwa CCM kwa kuzidi kueneza ujumbe wa "No reform no election" ambao umezidi kuungwa mkono na Watanzania wengi. Ukiachilia mgawanyiko unaotokea CHADEMA ambao wengi tunajua chanzo chake, unakwenda kutengeneza vuguvugu jipya la wapambanaji halisi wanaopigania mageuzi ya kweli ndani ya nchi hii na sio kwa ajili ya vibaraka wachumia tumbo.

Kwa haya tuliyoyashuhudia leo kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti John Heche kule Muganza Chato na Katoro Geita Kuna uwezekano mashabiki kindakindaki wa Hayati JPM wakajiunga na vuguvugu jipya la mageuzi.
 
Nafatilia mikutano ya CHADEMA KANDA Geita !.

ITOSHE kusema CCM hawana lolote la kufanya kuzuia Mabadiliko wanayotaka Wananchi.

Lakini pia inaonyesha, VYOMBO VYA DOLA, vimejaa ma mbumbumbu yanayotumia miguvu na Mbinu za 1950 kiasi kwamba , WANASHINDWA KUANDAA MBADALA WA UONGOZI UNAOTAKIWA NA WANANCHI.

Dola na CCM wamebaki na machaguzi mawili tu
1-Kuanguka
2-Kutumia mbinu za Utekaji, Uuaji ili waendelee kubakia Madarakan
 
No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono.

View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19

Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi.

View: https://x.com/ShijaShibeshi/status/1921219862732341440?t=iPWlGK_u95bpLce5lxxQFg&s=19

CCM hoi bini taabani.

Msimuweke Heche kolokoloni, jibuni hoja.

View attachment 3330196View attachment 3330197

Ogopa mkutano ulioojaa wanaume
 
Wanaowaongelea wale njaa 55, waambieni na wao waitishe mkutano, tuone kama hautakuwa kama mkutano wa mjumbe wa nyumba 10!
 
Akiunguruma huku akishangiliwa na maelfu ya wana Katoro, John Heche ameonekana kuwa ni mwiba mkali kwa CCM kwa kuzidi kueneza ujumbe wa "No reform no election" ambao umezidi kuungwa mkono na Watanzania wengi. Ukiachilia mgawanyiko unaotokea CHADEMA ambao wengi tunajua chanzo chake, unakwenda kutengeneza vuguvugu jipya la wapambanaji halisi wanaopigania mageuzi ya kweli ndani ya nchi hii na sio kwa ajili ya vibaraka wachumia tumbo.

Kwa haya tuliyoyashuhudia leo kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti John Heche kule Muganza Chato na Katoro Geita Kuna uwezekano mashabiki kindakindaki wa Hayati JPM wakajiunga na vuguvugu jipya la mageuzi.
View attachment 3330308
Mkuu 'Nyasi', nakubaliana na yote uliyo eleza kwenye andiko lako hili; nami nikasisimkwa niongeze yangu machache ambayo kwa pamoja na hayo uliyoweka yataiweka CHADEMA katika nafasi nzuri zaidi ya kuwa chama chenye uwezo wa kuongoza nchi kwa ufanisi.

Mimi nawasihi, viongozi hawa wakuu wa chama; pamoja na kazi nzuri kubwa wanayoifanya sasa hivi na kupokelewa vizuri na wananchi, juhudi hizi ziende sambamba na kukijenga chama kuwa imara huko huko vijijini/mitaani/majimboni.
Najuwa muda ni mdogo sana, na umuhimu wa kueneza elimu hii ya NRNE ni ya lazima kabisa ifanyike sasa; lakini chama ni lazima kipate viongozi imara kabisa huko chini. Wakati utakapofika wa kuteuwa kugombea nafasi mbalimbali, kama Ubunge, isije tena kukawa na kutazamana na kuulizana nani anafaa kwenye dakika za majeruhi.

Najuwa hii ni kazi hasa ya Sekretarieti; lakini ni muhimu ipewe kipaumbele sasa hivi, iende sambamba na jitihada hizi za NRNE.

Natumaini CHADEMA hili wataliweka maanani na kulifanyia kazi mara moja.
 
Nakubaliana na wewe, nadhani viongozi pia wanapita humu nadhani ni wazo zuri sana na litasaidia kupunguza operation cost, hapa wawe effective kwenye kutambua watu wakweli na waliotayari kukipigania chama..... CDM ipo imara sana
 
hiyo nonsense mbona ilishajifia zamani tu gentleman,

huenda ile siku wale wangwana ambao walitangaza kujiondoa chadema kwasababu ya uropokaji wa uongozi mpya, siku watakapo hamia kule ambako wanaelekea nadhani ndio itakua kimbunga Fredi 🐒
 
Kawaambieni vile vyama vyenu 17 mamluki waitishe mkutano wa hadhara kama watapa umati wa hivyo.
 
Back
Top Bottom