Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Nimetoa mchango wangu wa mabandiko mawili kuhusu uzinduzi wa filamu ya Royal Tour.
Bandiko la kwanza ni hili

Na bandiko la pili ni hili

Nautakia uzinduzi mwema wa Royal Tour siku ya Jumatatu ya Pasaka.
Paskali
 
heshima yako mkuu wangu
 
Mkuu Pascal Mayalla salama?
 
Amazing
 
😍😍😍
 

Unawajua watalii million 5? Watalii million 5 kamwe hawawezi letwa na movie.....
 
This is best for the president
 
Kionjo bora cha muda wote😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…