Tazama Kivuko cha mto Ruvuma, Fr. Osmund Kawonga aogopa kuvuka

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Your browser is not able to display this video.

Fr. Osmund Kawonga & Fratel Augustine Gama. Hongera sana watumishi wa Mungu. May God continue to guide and bless you in your vocation and ministry work.

Nchi yetu, miaka 65 baada ya uhuru miundombinu ni kama bado tunaishi chini ya mkoloni. Tena inawezekana, mkoloni mweupe angewajali zaidi wananchi kuliko huyu mkoloni mweusi aliyepo sasa.

Chanzo: Martin Masese
 
Nimefurahi kumuona Augustine, ni kijana mpole, mnyenyekevu na mwenye maono, sijawahi jutia kumfahamu, napenda hasa Tabasamu lake, na hiyo Dental Form yake, awww!!

Hapo ni lunyere wanavukia Upongoro.

Fadher wangu Kawonga, ila anapenda hela na pombe huyo.

Paroko wa Parokia ya Muhukuru.
 
ok.🐒
 
hapo muslims huwaoni kabisa, lkn ngoja siku papendeze, Kanisa lijenge shule, zahanati etc then wataibuka na kuanza kudai usawa, hii nchi tujaribu kuikabidhi serikali kwa Kanisa wanaweza kutusaidia zaidi klk hii serikali, kwanza Kanisa tayari kila kitu kipo, kuanzia mambo ya kiutawala kila kitu kipo well organized, kuna majimbo tayari nchi nzima yenye utawala kabisa hivyo haitakuwa shida kuongoza nchi ...
 
hapo muslims huwaoni kabisa, lkn ngoja papendeze, Kanisa lijenge shule, zahanati na wataibuka, hii nchi tuwakabishs serikali Kanisa wanaweza kutusaidia klk hii serikali ...
Pumbavu wewe mlokole mavi huyo kenge na azame akafie mbele huko akutane na yuda eskaori

Kuna madaraja ya kutosha mto Ruvuma halafu yeye na gauni lake kama anaenda vichakani kunya , kwanini asipite njia sahihi kama anataka kuvuka nyang'au huyo



 
Ungeuliza hapo alipo huyo Father ni wapi na anaelekea wapi?

Hizo Daraja unazoonesha wewe, Ziko tofauti na hapo, tena mbali sana, umbali wa elfu 8 nauli kwa bus. Lol
 
Kama Wana maono waambie watembee juu ya maji tuone. Hii nchi siyo ya wakristo, waisilam or wapagani. Kanisa lako litakuongoza wewe na Imani yako siyo serekali ya wanachi wa tz
 
Da Muhukuru kitambo sana, naamini sitaiona tena Muhukuru na akina Mkanura.
 
Pombe na pesa tena? ngoja TEC waje wasome hii comment sasa
 
Dah
Kwahiyo michango yote kanisani ameshindwa kulipa afnane tu avuke salama au ni drama
Anako enda yeye sio huko liliko Daraja, ni sehemu tofauti kabisa,

Na km atapita Darajani itabidi afike hadi wilaya ya Nyasa, sasa huo umbali je?

Anaonesha hapo couz Mbarawa alisema wataweka daraja, lakini hadi leo ni holaa.
 
CCM ni laana kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…