Kama anapenda hivyo vitu bila shaka totoz za maeneo hayo haziko salamaKwani uongo? Anapenda pesa na Pombe sana.
Kama anapenda hivyo vitu bila shaka totoz za maeneo hayo haziko salamaKwani uongo? Anapenda pesa na Pombe sana.
ina maana el nyinyo imeshaanza...?
Fr. Osmund Kawonga & Fratel Augustine Gama. Hongera sana watumishi wa Mungu. May God continue to guide and bless you in your vocation and ministry work.
Nchi yetu, miaka 65 baada ya uhuru miundombinu ni kama bado tunaishi chini ya mkoloni. Tena inawezekana, mkoloni mweupe angewajali zaidi wananchi kuliko huyu mkoloni mweusi aliyepo sasa.
Chanzo: Martin Masese
We unaona ni sahihi watu kuvuka mazingira kama hayo?Kwamba kila mtu unapopita lazma kiwepo kivuko...Hivi mpo serious kabisa? Ila kuna watu hapo wamevuka pia,ila mtumishi wa Mungu ameogopa...aaah
Kwani likijengwa wanafaidika nini waoDah
Kwahiyo michango yote kanisani ameshindwa kulipa afnane tu avuke salama au ni drama
Kwani sehemu ya kuvukia hipo hiyo tuu..ebu tuache vitu vingine kupiga kelele za bureWe unaona ni sahihi watu kuvuka mazingira kama hayo?