Tazama Kivuko cha mto Ruvuma, Fr. Osmund Kawonga aogopa kuvuka

ina maana el nyinyo imeshaanza...?
 
Kwamba kila mtu unapopita lazma kiwepo kivuko...Hivi mpo serious kabisa? Ila kuna watu hapo wamevuka pia,ila mtumishi wa Mungu ameogopa...aaah
We unaona ni sahihi watu kuvuka mazingira kama hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…