Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF).
Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi kulinganisha na Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo hadi Desemba 2023, Deni lilikuwa zaidi ya Tsh. Trilioni 5.1 ikifuatiwa na Nchi za DR-Congo, Uganda, Tanzania, Rwanda, Sudan Kusini, Burundi na Somalia.
Kama kwetu apa Tanzania pesa zinakopwa alafu inaliwa na watu bila kujali maoni yangu fedha za serikali wabunge watunge sheria Kali ikiwemo mtu akidhibitika amekula fedha za umma anyongwe ata kuliko kutia nchi madeni kwa matumbo ya wachache