JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kwanini usingeangalia peke Yako? Hebu acha uchawiWahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23.
Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu Mashariki mwa DRC, Miriam Favier amesema kuna hitaji la dharura la kuizika miili hiyo, kwani vyumba vingi vya kuhifadhia maiti vipo hospitali, na hii inaonesha kuna hatari ya kuzuka kwa magonjwa ya mlipuko.
Source: AFP, Al Jazeera
Kwanini Mwamposa asiende kuwaunganisha!!!Ebola iliua zaidi ya hao Congo sijui ni kwanini majanga hayaishi Kongo?!
Muulize Mwamposa.Kwanini Mwamposa asiende kuwaunganisha!!!
Una Roho mbaya Roho ngumu kuliko Shetani.Ebola iliua zaidi ya hao Congo sijui ni kwanini majanga hayaishi Kongo?!
Futi one umeziona wapi ....hizo cm Tatu mkuu.Aisee ,maisha haya watu wanatupiwa tu kwenye mashimo ya futi nne, bora wangechukua kata pila piga moja nzuri weka wote mana ni halaiki hiyo
Juu ya nini?!Una Roho mbaya Roho ngumu kuliko Shetani.
InashangazaAlafu kuna jamaa mmoja anasema, njoo muwekeze na kufungua ofisi goma