Tazama miujiza ya Yesu

Kazi za watu ambao hawaenda shule ni kama ifuatavyo:
Udalali
Ukuwadi,
Kupiga picha
KUbeba mizigo
Kuzibua vyoo
Kufagia barabara

Kwa kuongezea uhouse girl/boy, ukondakta nk.
 
Tafuta zaidi baraka za bwana maana muujiza ni kama kitu cha muda mfupi tu. Halafu kusubiri muujiza wa Bwana ni kama kauli ya kukata tamaa wakati ukifanya kazi Mungu atakubaruki kwa kazi ya mikono yako
 
ndugu haya ni maoni 2 bt ww ndo mwenye maamuz first noe ua self na wat u like 2 do.mungu ypo 2 kukupa baraka na ci miujiza bila kuji2ma:blah:.ji2me kwa kazi yoyote zen soma qt best utatoka
 
Kwa kuongezea uhouse girl/boy, ukondakta nk.

Huna akili zozote tena we ni dhaifu.na kama umeso elimu yako haikusadii kwa upumbavu uliuandika.kuna watu wanafanya kazi nzuri lkn shule hawakwenda na wana perform vizuri kuliko walio kwenda shule.we ni dhaifu
 
Ndugu yangu nimeguswa sana pole FUNGA NA KUSALI MUNGU ATAFUNGUA MILANGO
 
Kazi za watu ambao hawaenda shule ni kama ifuatavyo:
Udalali
Ukuwadi,
Kupiga picha
KUbeba mizigo
Kuzibua vyoo
Kufagia barabara

Hao walio soma kama Kikwete wana nini mbele ya Mungu na wanajenga Jamii au Kubomoa? Rekebisha Kauli Mkuu
 
Huna akili zozote tena we ni dhaifu.na kama umeso elimu yako haikusadii kwa upumbavu uliuandika.kuna watu wanafanya kazi nzuri lkn shule hawakwenda na wana perform vizuri kuliko walio kwenda shule.we ni dhaifu

Asante Kijana! Siwezi ku argue with a fool, oooh.
 
Likishindikana Kwa Binadamu mwelekezee Mungu uso wako naye atafungulia njia.
 
Hao walio soma kama Kikwete wana nini mbele ya Mungu na wanajenga Jamii au Kuboa? Rekebisha Kauli Mkuu

Si ndo hapo!!! Watu wanakufuru sana, hawajui dunia ni duara

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Hayo yanayomkuta mleta uzi ameyataka mwenyewe. Unajua ukiangalia hiyo heading na jinsi alivyaondika ndani unaweza ukatapika na kusababisha keyboard ichafuke. Badili hiyo heading afu uone kama watu watakujibu namna hiyo. Acha hizo bwana we unashida andika vizuri ili usaidiwe
 
Kazi za watu ambao hawaenda shule ni kama ifuatavyo:
Udalali
Ukuwadi,
Kupiga picha
KUbeba mizigo
Kuzibua vyoo
Kufagia barabara
Hapo kwenye red,siku yakikuchachia hapo nyumbani kwako ndio utaona kuwa kila kazi inaumuhimu wake. Utapata faraja kwa vile huyo hakusoma.
 
huyu mtu anajua computer jamani mpeni kazi kajaje hapa na kuchangia hilo hamjaona kwani pambana utafanikiwa
 
Ur title and content are two different thngs,unaboa sana!!
 
Usikatishwe tamaa na wajinga wachache omba mungu .mm mwenyewe nilisoma electrical test grd 1 lakini leo hii mshahara wangu ni zaidi za mtu mwenye degree 2 nina nyumba 2 na kausafiri.utafanikiwa
 
fool ni wewe ambaye una disqualify watu kwa kielim chako cha kuunga unga, kwanza unafanya kazi ofc ya shemeji yako.acha kucritisize watu.wape hope,unakuwa kama huna dini pu*****f
 
Hi! Chumvichumvi, unasema "mungu kasema jisaidie nami nikusiadie", ni kitabu kipi imeandikwa hivyo? Kama ni Biblia mimi nimetafuta huo mstari sijawahi kuuona labda kama kuna Biblia tofauti na hii ya Wakristo.
 
Huna akili zozote tena we ni dhaifu.na kama umeso elimu yako haikusadii kwa upumbavu uliuandika.kuna watu wanafanya kazi nzuri lkn shule hawakwenda na wana perform vizuri kuliko walio kwenda shule.we ni dhaifu
hapo kwenye red umenifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…