mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,363
- 223
Usilitaje Bure Jina La Mungu Wako...............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi za watu ambao hawaenda shule ni kama ifuatavyo:
Udalali
Ukuwadi,
Kupiga picha
KUbeba mizigo
Kuzibua vyoo
Kufagia barabara
Kwa kuongezea uhouse girl/boy, ukondakta nk.
Ntawezaje kupata kazi yenye kudumisha utu wangu, kuwatunza wazazi wangu, na kuwasaidia ndg zangu wakati sikubahati hata kumaliza elimu yangu ya sekondari?
Sina kazi natafuta kazi tafadhari nisaidie leo nawe kesho waweza kusaidiwa, wewe, mwanao au nduguyo.
Kama kuna mtu anaweza kuniwezesha tuwasiliane kupitia simu namba 0685234854 tuma sms.
Kazi za watu ambao hawaenda shule ni kama ifuatavyo:
Udalali
Ukuwadi,
Kupiga picha
KUbeba mizigo
Kuzibua vyoo
Kufagia barabara
Huna akili zozote tena we ni dhaifu.na kama umeso elimu yako haikusadii kwa upumbavu uliuandika.kuna watu wanafanya kazi nzuri lkn shule hawakwenda na wana perform vizuri kuliko walio kwenda shule.we ni dhaifu
Ntawezaje kupata kazi yenye kudumisha utu wangu, kuwatunza wazazi wangu, na kuwasaidia ndg zangu wakati sikubahati hata kumaliza elimu yangu ya sekondari?
Sina kazi natafuta kazi tafadhari nisaidie leo nawe kesho waweza kusaidiwa, wewe, mwanao au nduguyo.
Kama kuna mtu anaweza kuniwezesha tuwasiliane kupitia simu namba 0685234854 tuma sms.
Hao walio soma kama Kikwete wana nini mbele ya Mungu na wanajenga Jamii au Kuboa? Rekebisha Kauli Mkuu
Si ndo hapo!!! Watu wanakufuru sana, hawajui dunia ni duara
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
Hapo kwenye red,siku yakikuchachia hapo nyumbani kwako ndio utaona kuwa kila kazi inaumuhimu wake. Utapata faraja kwa vile huyo hakusoma.Kazi za watu ambao hawaenda shule ni kama ifuatavyo:
Udalali
Ukuwadi,
Kupiga picha
KUbeba mizigo
Kuzibua vyoo
Kufagia barabara
hapo kwenye red umenifurahishaHuna akili zozote tena we ni dhaifu.na kama umeso elimu yako haikusadii kwa upumbavu uliuandika.kuna watu wanafanya kazi nzuri lkn shule hawakwenda na wana perform vizuri kuliko walio kwenda shule.we ni dhaifu