Haha subiri wakusikie wenyeweSisi wanaume wa dar huwa hatuibiwi kizembe namna iyo...Jamaa naona wanamuelekeza njia ya kariakoo shimoni ili akawadithie sagulamagobe kuwa na yeye kashafika shimoni,
Akitoka hapo ataenda na kupiga picha pale darajani manzese
HAAAAAAAAAAAAAAA
Mkuu habari,Jamani
Mkuu habari,Jamani
Gr8 my dearMkuu habari,
Duh!
Hii mbona ipo kitambo hapa..!!??