Tazama Mwanaume wa mkoani akiibiwa Kariakoo

Tazama Mwanaume wa mkoani akiibiwa Kariakoo

Sisi wanaume wa dar huwa hatuibiwi kizembe namna iyo...Jamaa naona wanamuelekeza njia ya kariakoo shimoni ili akawadithie sagulamagobe kuwa na yeye kashafika shimoni,

Akitoka hapo ataenda na kupiga picha pale darajani manzese
 
Haha subiri wakusikie wenyewe
 
Na huyo Jamaa aliyeingizwa mjini hapo kwa Kuibiwa najua tu lazima atakuwa ni Mhaya au Muha au Mnyiramba na Mnyaturu au Mrangi kwani ndiyo Watu wanaoongoza kwa ' ushamba / umbwigira ' Tanzania nzima. Huwezi hata siku moja kukuta Mtu wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) ama anaibiwa au anatapeliwa ' Kizembe ' hivyo na Kwanza sijui utaanzia wapi.
 
Hahahahaahhaaaaaa eti mwanaume wa mkoani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom