Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

Unabubujikwa na machozi ya uchungu ukiwa wapi, vwawa, ileje, au mpugusu huko
 
Hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi..mwisho wake unakuwa aibu kubwa sana 😂 😂 😂 😂
 
Sifa za kijinga.
 
Mimi silipwi hela hata shilingi mia kuwaleteeni ukweli hapa jukwaani ndugu zanguni watanzania. Naingia hapa jukwaani kwa gharama zangu Mwenyewe za vocha kwa pesa ya jasho langu Mwenyewe.
Poa wamekusikia, utaanza kulipwa
 
Vipi mkuu baada ya kuona izo picha haujabubujikwa na machozi ya furaha
 
Kila nikiwaza kutoka kuwa sijui office attendant mpaka kuwa rais wa Nchi. Mungu ni mkubwa hapo ulipo jipige kifuani kwamba Mungu hpo siku. Yani Professa Shivji, Dkt Bashiru wameshindwa kuwa Marais Nchi kachukua Mama. Acheni Mungu aitwe Mungu.
 
🗑 🚮
 
Rais wetu ni kiongozi mzalendo na mwenye mchungu mkubwa na Raslimali za Taifa letu na mwenye kiu ya kuona rasilimali zetu zinatufaidisha watanzania.


Ninyi ndio wasaliti wakubwa wa Tanganyika, na vizazi vyenu vya baadaye. Mtu amegawa rasilimali zote muhimu za Tanganyika kwa waarabu, halafu mnajitoa ufahamu na kumpamba!! Mlaaniwe watu ninyi, hamna faida.

Yaani mmekosa hata akili ndogo kabisa ya kujiuliza:

Hivi mwarabu anapopewa mbuga ya wanyama kwa mgongo wa uwekezaji, anawekeza nini kwenye mbuga? Ameleta twiga toka uarabuni?

Mwarabu anapopewa hifadhi ya misitu asilia kwa mgongo wa uwekezaji, amewekeza nini? Ameleta mobanga, mininga au mitundu kutoka Oman?
 
Kiwewe hicho hizo data yeye ndo anaziona Kwa mara ya Kwanza so anapitia ili asikosee katika kutamka .unakijua kiwewe wewe Lucas?
 
Kichwa cha habari ni safi, ila main body utafikiri ulikuwa ndoto ni
 
Hakika Dr SSH anatendea haki honorary phd alizopewa. Anasoma na kuchakata mambo mkutanoni. Nampomgeza raisi wangu kiukweli kabisa sio kama pongezi za.madeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…