Pre GE2025 Tazama ofisi ya Makonda yageuka kuwa uwanja wa mazoezi, mamia wafurika kupiga yoga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 mwezi wa tatu itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha, leo wakazi wa mkoa huo wamefurika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa ajili ya kufanya Mazoezi ya Yoga.

Pia, Soma
Anapunguzaje u job less ma chalii Arusha ...? Wamama kupata mitaji ? Wale wadudu watazeerka watakuwa family .....hawatakuwa ...yaani ganii yaani chuga ni gani....hahaha huo ujinga atii over time...
Unabakia mzigo jamii na familias etii yaani no gani wehuuuu
 
Kwa hivyo hicho ndo kipaumbele cha wana Arusha, yaani kero kuubwa inayowasumbua ni kukosa uwanja wa kufanyia mazoezi...hivyo ufumbuzi kwa mujibu wa mkuu wa mkoa ni kufunga barabara ( kuzuia matumizi sahh ya barabara)!!
Tunaongozwa na wajinga sana!!.
 
Usipojua vipaumbele vyako unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo jamii itakuona ni wa hovyo.

Nadhani huyu mwamba anatakiwa kujikita eneo lingine nje ya uongozi. Kwa maana shughuli zake zimekaa kama mtu ambaye anapenda umashuhuri,umaarufu,na kuwa kwenye vyombo vya habari muda wote.
 
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 mwezi wa tatu itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha, leo wakazi wa mkoa huo wamefurika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa ajili ya kufanya Mazoezi ya Yoga.

Pia, Soma
Katika kipindi hiking cha ugumu wa maisha, vijana wanaelimu l, ila wanapigika kitaa, vijana chini ya miaka 35,ni, asilimia 63 ya watz wote, vijana ni milioni 36!
Kiongozi wa umma,anatumia rasilimali ku intertaine watu wasiozidi 50! Ili kutengeneza trends za kipuuzi kuzima moto wa mijadara muhimu kama umoja wa waalimu wasio na ajira rasmi ya ualimu!
Mtu anatangsza eti kila mtu ampost mke wake! Hili Lina maana na faida gani kipindi hiki?
Ajira, kilimo, siasa Bora, utalii,jitu linaongelea upuuzi tu
 
Siasa ni raha sana hasa ukiwa mbunifu aisee

Kuwa na cheo haimfanyi mtu ageuke kuwa tofauti na watu wengine

Ishi na jamii kirafiki hata ukiwa na cheo cha juu
 
Katika kipindi hiking cha ugumu wa maisha, vijana wanaelimu l, ila wanapigika kitaa, vijana chini ya miaka 35,ni, asilimia 63 ya watz wote, vijana ni milioni 36!
Kiongozi wa umma,anatumia rasilimali ku intertaine watu wasiozidi 50! Ili kutengeneza trends za kipuuzi kuzima moto wa mijadara muhimu kama umoja wa waalimu wasio na ajira rasmi ya ualimu!
Mtu anatangsza eti kila mtu ampost mke wake! Hili Lina maana na faida gani kipindi hiki?
Ajira, kilimo, siasa Bora, utalii,jitu linaongelea upuuzi tu
Vijana nendeni mkalime
 
Acha wivu, hata wewe unaweza kutengeneza trends zozote zile
 
Usipojua vipaumbele vyako unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo jamii itakuona ni wa hovyo.

Nadhani huyu mwamba anatakiwa kujikita eneo lingine nje ya uongozi. Kwa maana shughuli zake zimekaa kama mtu ambaye anapenda umashuhuri,umaarufu,na kuwa kwenye vyombo vya habari muda wote.
Aaah wapi chief!

Kumbuka pia, mazoezi ni mhimu na mazuri kwa afya
 
Tulishawaambia hivi vyeo Mkuu wa Wilaya, Mkoa vifutwe havina tija kwa sasa ni mzigo tu kwa walipa kodi - CCM ati wamegoma.
 
Back
Top Bottom