Pre GE2025 Tazama ofisi ya Makonda yageuka kuwa uwanja wa mazoezi, mamia wafurika kupiga yoga

Pre GE2025 Tazama ofisi ya Makonda yageuka kuwa uwanja wa mazoezi, mamia wafurika kupiga yoga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapi RC wa Njombe!

Hizi hekaheka za Mako huwa zinamuumiza huyo Dingi mara "ooh sisi hatuna tu kamera kama wao ila tunapiga kazi."
 
Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 mwezi wa tatu itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha, leo wakazi wa mkoa huo wamefurika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa ajili ya kufanya Mazoezi ya Yoga.


Pia, Soma
Huyo ndiye aliyestahili kuwa Waziri wa Michezo na si Professor Kabudi.
 
Back
Top Bottom