Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Anapunguzaje u job less ma chalii Arusha ...? Wamama kupata mitaji ? Wale wadudu watazeerka watakuwa family .....hawatakuwa ...yaani ganii yaani chuga ni gani....hahaha huo ujinga atii over time...Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 mwezi wa tatu itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha, leo wakazi wa mkoa huo wamefurika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa ajili ya kufanya Mazoezi ya Yoga.
Pia, Soma
Katika kipindi hiking cha ugumu wa maisha, vijana wanaelimu l, ila wanapigika kitaa, vijana chini ya miaka 35,ni, asilimia 63 ya watz wote, vijana ni milioni 36!Kuelekea siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 mwezi wa tatu itakayofanyika kitaifa mkoani Arusha, leo wakazi wa mkoa huo wamefurika nje ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwa ajili ya kufanya Mazoezi ya Yoga.
Pia, Soma
Vijana nendeni mkalimeKatika kipindi hiking cha ugumu wa maisha, vijana wanaelimu l, ila wanapigika kitaa, vijana chini ya miaka 35,ni, asilimia 63 ya watz wote, vijana ni milioni 36!
Kiongozi wa umma,anatumia rasilimali ku intertaine watu wasiozidi 50! Ili kutengeneza trends za kipuuzi kuzima moto wa mijadara muhimu kama umoja wa waalimu wasio na ajira rasmi ya ualimu!
Mtu anatangsza eti kila mtu ampost mke wake! Hili Lina maana na faida gani kipindi hiki?
Ajira, kilimo, siasa Bora, utalii,jitu linaongelea upuuzi tu
Acha wivu, hata wewe unaweza kutengeneza trends zozote zileKatika kipindi hiking cha ugumu wa maisha, vijana wanaelimu l, ila wanapigika kitaa, vijana chini ya miaka 35,ni, asilimia 63 ya watz wote, vijana ni milioni 36!
Kiongozi wa umma,anatumia rasilimali ku intertaine watu wasiozidi 50! Ili kutengeneza trends za kipuuzi kuzima moto wa mijadara muhimu kama umoja wa waalimu wasio na ajira rasmi ya ualimu!
Mtu anatangsza eti kila mtu ampost mke wake! Hili Lina maana na faida gani kipindi hiki?
Ajira, kilimo, siasa Bora, utalii,jitu linaongelea upuuzi tu
Watu wengi tu wapumbavKutawala Tanzania ni rahisi sana
Aaah wapi chief!Usipojua vipaumbele vyako unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo jamii itakuona ni wa hovyo.
Nadhani huyu mwamba anatakiwa kujikita eneo lingine nje ya uongozi. Kwa maana shughuli zake zimekaa kama mtu ambaye anapenda umashuhuri,umaarufu,na kuwa kwenye vyombo vya habari muda wote.
Mkuu SAGAI GALGANO hii haisaidii jamaa kuitwa yeye ni makondaNyamitako anajua kutafuta kiki.
Maboya ndio wengi!Kutawala Tanzania ni rahisi sana