Tazama picha Diamond alipofanya interview na kiss tv na vyombo vingine vya habari

Tazama picha Diamond alipofanya interview na kiss tv na vyombo vingine vya habari

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=3][/h]
[h=3][/h]

Hii ni sehemu ya pili,ya mahojiano na media mbali mbali
Hapa Nairobi,baada ya kufanya mahojiano na
Tuva wa Mambo mseto..nilifanya mahojiano na

Kiss Tv kisha nikafanya na waandishi kutoka vyombo vingine vya habari
waliokuwa wakinisubiri nje...
kama ilivyokuwa kwenye mambo mseto...kikubwa
walitaka kufahamu kuhusu mipango yangu ya baadae
kimziki,collabos,na maisha yangu..
Director wa kipindi,Kiss Tv akiniwekea Mike
 
Waandishi kutoka vyombo vingine vya habari wakinisubiri

Akumbuke ili kuendelea ku-shine anatakiwa ku-invest zaidi ktk miradi mbalimbali kama wafanyavyo wasanii wakubwa huko ughaibuni. Lakini akilewa sifa atawafuata waliomtangulia ktk game hii ya bongo fleva.
 
Ashamtamani huyo dada kwenye hiyo picha hapo juu muone kwanza alivojishika mweeh!
 
anapaswa kujitambua sasa ikiwa anahitaji kuendelea zaidi....
 
naipenda sana kazi yangu..n najiskia fahari vile watu mnaicopy kazi yangu kamailivyo na kuileta humu
na bado utawaskia hawa hawa wananiponda utazani haya matukio wangeyapata pasipo mimi
 
Huyo ndio ALMASI bana.........................
 
naipenda sana kazi yangu..n najiskia fahari vile watu mnaicopy kazi yangu kamailivyo na kuileta humu
na bado utawaskia hawa hawa wananiponda utazani haya matukio wangeyapata pasipo mimi

Unaipenda kazi yako umeajiriwa au anakubeba kwa kuepusha lawama za kukuacha kitaa,unamkataba kamilifu kiajira?
 
naipenda sana kazi yangu..n najiskia fahari vile watu mnaicopy kazi yangu kamailivyo na kuileta humu
na bado utawaskia hawa hawa wananiponda utazani haya matukio wangeyapata pasipo mimi

Acha maneno ya dharau. Una mambo ya kishoga sana. Hizo comment uzifanye kwenye mada/topic unazoweka wewe usizilete kwangu. Unijui sikujui.
 
Mmhhh kupiga picha nayo kazi kubwaa mno hivi unalipwaa kama wabunge wanavyolipwaa wanapewaa shangingi,posho kibao,,mshahara wa kutoshaa nawe unalipwa kama hawaa Mp au ukiwa karibu na domo tu basi usharidhika unasahau maslah yako loll
 
Back
Top Bottom