Tazama Picha hii kisha jibu maswali

Tazama Picha hii kisha jibu maswali

1. Horizontal Photograph
2. Tropical rain forest
3. Coffee, Cocoa and Banana.
4. (i)Kiba100, madhara yake hakifai kuungwa kwenye mchuzi. Faida ukigegedea unazalisha kama kawa kama mwenye hogo.
(ii) Kitambi, madhara yake kinafanya usiwe flexible. Faida kinakufanya uonekane Don.
(iii) Majani mengi, madhara yake yanakufanya usiyaone mazingira ya mbali hivyo kukufanya iwe rahisi kushambuliwa na adui. Faida yanakukinga na jua na mvua.
Lazima bado utakuwa mwanafunzi wallah
 
1. Hii ni picha ya aina gani?

2. Eleza aina ya hali ya hewa ya eneo hili?

3. Taja mazao matatu yanayoweza kulimwa kwenye ukanda wenye iyo hali ya hewa?

4. Jadili vitu vitatu unavyoviona kwenye picha hii, ukielezea umuhimu na madhara yake.

MUDA: Masaa MatatuView attachment 859313
Haya maswali wale waliokimbia physical geography walikuwa wakiyapenda saaana

*Eti naskia kuna mtu kafanana nae*
 
Back
Top Bottom