Tazama picha ya nyumba ya Obama

Hawataiba tu ila hawatatoka madarakani pia. Wastaafu wa Jeshi vyeo vya juu na maraisi wapewe malezi mazuri.
 
Kwani waliacha kuiba lin?
 
Na hajajengewa na mtu, huku Kwetu Rais anamshahara mkubwa na maruputupu kibao na hata akistaafu analipwa na bado tunamzawadia mpaka mwisho wake, kweli ngozi zetu hizi nyeusi zinalaana.
Watumie mishahara yao kujitegemea kumbuka kila kitu anafanyiwa hakuna anachonunua hata sindano, wawaonee huruma wanyonge. Hizi ndio sheria za kuondoa, au asilipwe mshahara atutegemee kwa kila kitu.

Hivi kwa mshahara wake anashindwa kuendesha maisha yake binafsi? hata kununua handkerchief?
 
Watu kama hawa hawHitajiki kuingia tena peponi maana wameshakula starehe zote za kidunia. [emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona haina fence? Anyways kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanasiasa wa Kitanzania (either CCM or Mpinzani, wote hawa wapo kwa masilahi yao binafsi kwanza kabla ya taifa) na Mmarekani.
Sheria za wenzetu haziruhusu fence. Na hasa nyumba kama hiyo ambayo haina majirani.

Mji wa Dodoma wameiga hiyo style. Isipokuwa kwa Dodoma mwisho wa fence kwa upande wa jirani yako ni mita 2 na upande wa barabara unaweka see through fence.

Kama huamini tizama movies zote za marekani uone nani kaweka fence. Sana sana upande wa jirani wameweka partions za mbao.

Hii style ni salama zaidi kuliko kuweka fence kwa sababu hata ukiwa na magari ya wizi yataonekana.

Kuna mji mmoja marakani ambapo meya ameagiza garage doors kwenye nyumba ziwe wazi mchana ili kuona nini kilicho ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…